Nipanguze Machozi mp3 download
Sikujua ujinga nilibonga ingeleta riot mtaani,
Niliscratch maneno zangu nikaropokwa samahani/'
Sikujua kifo imeshikana sana na dhambi,
Sikuona umuhimu ata wa kupiga kambi/'
Deadly imekua disease moja kali sana maishani,
Tafash kila upande nikavukia dirishani/'
Sikujua maybe ni vile nilipiga kombi,
Direct na kneel oh please- kutoa ombi/'
Country ilikua imetegemea maisha yangu ya baadae,
Macho zangu focus kwa ma mbus niwaadae/'
Ka sifai ni poa sawa sa mniache,
Count down ikionyesha heri industry niiache/'
Bado nawaza mi bado najikaza,
Sijui kama ntaweza maybe ni mi nacheza/'
Sitatulia ndo maana sijatulia ninalia,
Ukinishika ntavumilia na kukuangalia/'
Sikujua ana umuhimu ata ka ye ni madha wa kambo,
Sikumlyk nilimdharau toka kitambo/'
Ye hanipendi, mi simpendi pole mama,
Ulintesa sana ingawa haukuniachia ata alama/'

No comments:
Post a Comment